22.11.13

Friday, September 10, 2010

INGAWA LEO NI SIKUKUU LAKINI WATU WANAENDELEA KUZICHANGA MCHANA HUU,

Hawa watoto walikuwa bado wako road na leo wanakusafishia kioo chako cha gari na wanakuomba hela ya sikukuu. Haya ndio maisha ya bongo kwa upande wa pili wa sarafu

Barabara hii ya Moroco pembeni ya jengo la Zain bado shughuli zinaendelea, lakini upande huu wa pili kama unaelekea posta magari leo nimachache kabisa.

Naendelea kudhurura ndugu zangu, Jioni nitakuwa pale Sun Cirro kwenye uzinduzi wa TIP TOP Connection na baadae nitakuwa kwa mwanadada Lady Jay Dee pale Mzalendo Pub Mungu anibariki coz siyajui ya baadae.

No comments: