22.11.13

Friday, September 10, 2010

PROF JAY LIVE IN ATLANTA TOMORROW.

Leo narudi Dallas nilikuwa na wakati mzuri sana hapa Des Moines, shukrani sana kwa watu wangu wote wa pande hizi, special thanx kwa my cazins Brian,Walter and John Mahundi.. KESHO NATUA ATLANTA JUMAMOSI NI BONGE LA SHOW KAMA KAWAIDA... ATL STAND UP!!!!

No comments: