22.11.13

Wednesday, September 29, 2010

KINACHOENDELEA USIKU HUU.

Kinachoendelea usiku huu hapa maeneo ya Posta Town ni umaliziaji wa video ya Joh Makini inayoitwa KARIBU TENA.Video hii inavipande vingi so leo ndio walikuwa wanaimalizia, Location hii imetubidi tuje usiku ili kukwepa watu na foleni za magari.

 Nahimani video itakuwa nzuri sana...muda umekwenda mungu jalia tuonane baadae..ONE.

1 comment:

Anonymous said...

inaonesha itakuwa makini kweli hii video