22.11.13

Wednesday, September 29, 2010

WAKAZI Freestyle featuring HASHEEM THABEET.

PART 1.

PART 2.
 


10 comments:

MUDDY NICE said...

HI DJ CHOKA,
MSHKAJI MI HUWA NAKUHESHIMU KWELI NA NINAKUONAGA MTU MAKINI SANA ILA KWA HII CRIP YA HUYU DOGO HASHEEM THABIT UMECHEMSHA. SASA WEWE UMETUWEKEA HAPA ILI SISI TUONE NINI?, HAWA JAMAA WANAUZA SURA KIZEMBE ZEMBE NA WEWE UNATUWEKEA UPUUZI WAO HAPA, AU UMELEWA SIFA NINI DJ CHOKA?, MANAKE USIJEONA WATU KIBAO TUNAINGIA KWENYE BLOG YAKO UKAPATA KICHWA NA KUJIONA UKO JUU UKAWA UNATUWEKEA UTUMBO WOWOTE, JUA SASAHIVI BLOG ZIKO KIUSHINDANI PIA.
OK MWAMBIE HUYO DOGO YEYE ACHEZE BASKET LAASIVYO ATAJASHUSHWA LIGI KAMA ILIVYOTOKEA MALA YA KWANZA, SIJUI KWANINI WASWAHILI HUWA HATUKO SERIOUS, YAANI DOGO KESHAJIONA YEYE AIR JORDAN, AU MAGIC JONHSON. MANAKE KILA SEHEMU ANATAKA AONEKANE. KWELI MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA MBWATA.

MUDDY NICE

Anonymous said...

Duuu! to be honest kwaukweli sijasikia hawa watu wa americanflava wanachozungumza they needed to have a confidence na they needed to speaked up kidogo ukitaka umarekani na wakati wewe ni mbongo pure that shit its hardest thing to do it, that is my advised u all mnatakiwa kuwachia wanyamwezi mambo hayo, peaceeeee

Anonymous said...

@muddy... kijana stop hatin on the nigga!! they just havin fun, madogo wanajitahidi... n big up to hasheem, hez a superstar na bado anawakumbuka masela na home pia... we shoud b proud.

Anonymous said...

Hlf na wewe Said chizi nn??nafikiri akili zako ni km hao wapuuzi hapo!!! acha kufagilia upumbavu!!sasa hio ni nini?? fresstyle,,mashauzistyle au?? huyo Hasheem naona hana hata la kufanya kazi kujishika mdomo tu miwani atoe mara avae ss sijui ni utoto au ni nn?? hlf anatakiwa aeleze ukweli ss kuhusu timu anayochezea aache kuwadanganya watu na kwani hata achezi tena kikapu kabaki oohohh mimi nacheza nba wakati tayari wameshamvunja hana tena nafasi NBA mkae mkijua wabongo asiwaongopee bure!! hlf mbona hata hapo aiimbi kazi kujishembendua tu mbele ya camera!!! km ni umaarufu ulishapata !!Thats it!! Do something else!! Nasema hivyo kwani wt hao nawajua hawana hata vibali vya kuishi huku na kwenda bongo hawawezi wanabaki tu hoooo mimi unyamwezini kitambo!!!! kitambo bila ishu!!thats stupid!! labda huyo Hasheem ndio maana yuko bongo mara kwa mara sababu hana la kufanya tena huku!!! na huku hata watu hawamjui kwahiyo hafangiliwi na mtu yyt ndio maana anaenda bongo ili ajivunie kidogo...muulizeni ni game ngapi alicheza ktk hio timu??? Mdau USA

Muddy said...

Hi Wee mpuuzi uliyeficha jina. Mi ni Muddy na sikuona ubaya kuandika jina langu hapo. Sasa kwa ujinga alioufanya Hashem hapo juu sisi kama watanzania tunatakiwa kuji proud kitu gani. Mbona unakuwa limbukeni wewe, yaani wewe Thabeet kucheza basket ball NBA ndio unaona wa TZ wote tumkubali hata kama akifanya upuuzi sio, embu funguka akili pombe we.
Mtu ukipatiwa utasifiwa lkn ukileta madudu lazima uambiwe ili siku nyingine usilete bangi zako hapo. Mijitu inatumia dakika kibao hata sauti zao hazisikiki, upuuzi kama huu ndio maana tumeukemea ili DJ Choka asijerudia kutuwekea.Wewe kama unajiamini ungeweka jina lako na sio kulificha. Mtumwa wa Hasheem mkubwa.

Muddy Nice

Anonymous said...

.. In the begin wen isaw i thought is real something complete u knw .. the song title was like ... featuring Hasheem.. but it was a CRAPPPP SHit learnig how to clean ya face in web com... masela tufanye vitu vilivyokamilika na sio baasi tuu ukishalewa ujiamulie kufanay mapombee tuu,...
NA USHAURI KAKA YANGU CHOKA,.. ebu sometime edit au fuatilia kila kitu kinachowekwa vingine AVINA APETIT...

Anonymous said...

we muddy tafuta maisha yako na wewe acha kuzingua bangi hapa. kwanza hiyo ni clip sio crip, na pia haimuhusu thabeet bali huyo rapper wa kibongo anayeishi huko ughaibuni, hasheem anaonekana akitoa support kwa mtanzania mwenzake anayejaribu kutoka kisanaa kitu ambacho na wewe ulitakiwa kufanya (kuwa support wote wawili kama we mzalendo wa ukweli)

hujalazimishwa kupenda wanachokifanya ila usimletee malalamiko dj choka wakati inaonekana ni wewe tu peke yako ambaye unatatizo na video "clip" hiyo.

hongera Wakazi na Thabeet endeleeni kutuwakilish vyema!

Anonymous said...

hashimu and ya puppies ya gotta grow ya a$$ up!!!!!!!!

Anonymous said...

Mnasikitisha sana esp huyo Hashim, Kwa nini asitumie muda kama huo kujifunza english maana ni tatizo kwake u can tell. Watch out Hasheem maana kinacho ku keep NBA ni contract amabyo ikishaisha in two years trust me utakua kama kina Samaki Walker ukichezea ligi ya Russia watch out son. NI BORA TUNAOPIGA BOXI HATUNA STRESS KAMA ZAKO

Anonymous said...

mdau hapo juu ya talkin the real thng, huyo dogo hata english ni tabu mi naona pia hajui umuhimu wa tym yet we gotta pray 4 his black a$$ mayn cozanahitaji kucaltivate ile self awareness maana jamaa inaonekana hajitambuai i tell....we lv u dogo ths y we even take tym to write some 4 u kid..... u knw u can reach the palace talking like a peasant, meditate on dat kid!!!!!!!!1