22.11.13

Thursday, September 16, 2010

LEO NIMETEMBELEA GOLI LA MAPACHA "PKP"

Leo nimetembelea office ya wasanii kutoka PKP namaanisha MAPACHA iliyoko maeneo ya Mwenge. Nilikuta vitu kibao lakini moya ya kazi niliyokuta wakiitengeneza ni tishet za Bonta zenye nembo ya NAUZA KURA YANGU. Nilipoongea na Bonta mwenyewe aliniambia mzigo utakuwa kitaani mda si mrefu so wakae poa zitasambazwa kwenye maduka kadhaa ya Dar na nje ya Dar.

No comments: