22.11.13

Friday, September 10, 2010

MACHOZI BAND SPECIAL FOR EID WEEKEND.

Mzigo unaanza Ijumaa Mzalendo Pub - Millenium Towers.
Kisha Jmosi tutapiga kitu special kwa sikukuu ya Eid pale Thai Village Masaki
na J2 ndio ile show ya Uzuri Wa Tanzania

CD Albam ya Machozi Band - Combination itapatikana pia.
Kuna zawadi ya kupata breakfast Southern Sun

Show ni mpya mpya na iko special kiaina, pls karibuni tu'enjoy pamoja.......


Lile shindano la zawadi ya kuhesabu shows litakamilika kwenye show ya kesho ya ijumaa. atakae weza kusema ni show ya ngapi ndio atapata ule mzigo tuliouahidi

No comments: