22.11.13

Monday, September 20, 2010

THE MAKING OF KARIBUNI TENA "JOH MAKINI"

Jana ilikuwa ni siku nyingine tena ya Joh Makini kushuti video yake nyingine inayoitwa KARIBU TENA. Location ilikuwa ni pale Kariakoo na jamaa alipata shot tofauti tofauti na naimani zitakuwa nzuri tu. Kampuni ambayo alikuwa anafanya video hiyo ni Visual Lab chini ya Adamu Juma.

Mziki ulifungwa tayari kwa kuwarusha washkaji watakao kuja kwenye show ya Joh

Shot ya kwanza jamaa ndio wanaingia kwenye show sasa, kushoto ni Nick wa Pili, Joh Makini na Gnako.

Show imekolea sasa na mashabiki wengine walikuja na picha ili kukazia show ionekane nzuri.

Tukifuatilia yanayoendelea...

DJ PQ na DJ Choka nao walikuwa kwenye location.

Nick wa Pili katikati akiwa na washika dau

Lord Eyez & Gnako

Shot hii ni kwamba Joh Makini anawapitia wale vijana waliokata tamaa ya maisha na kukaa vijiweni tu

WASOMI BADO NIWATUMWA KWA WANASIASA...

Braza Ludigo alikuwepo nae, hapa alicheza kama dokta

Shot za mwisho zilikuwa huku...

2 comments:

Anonymous said...

dah namkubali mwanba wa kaskazini ile mbaya coz mchizi hana iyana jana ameturusha masela wa kitaa cha kariakoo bila hiyana, jamaa yuko peace na watu aile mbaya, naamina jamaa ana maanisha "ngumu nyeusi slogan" big up joh

nimi said...

safi inapendeza kuona watanzania tumeelimika kuhusu video makin but punguzeni uvutaji wa bangi wasanii wetu wengi wenu mnapotea ktk hilo najua bangi ni starehe ila vuteni taratibu basi bana