22.11.13

Sunday, September 12, 2010

THE MAKING OF ZINILA.

Kijana Wfil Dav anayesimamiwa na Ustadh Juma na Musoma mida hii anafanya video yake inayokwenda kwa jina la Zinila hapa maeneo ya Sinza Africa sana.

Video hii inatengenezwa na kampuni ya Kiumbe Videoz..
Shooting inaendelea

No comments: