22.11.13

Sunday, September 12, 2010

WAGENI WAOKOLEWA NDANI YA SWIMMING POOL

Wakati tukiwa tunafanya video hapa hotelin kuna wageni walikuwa wanaogelea wakaingia kwenye kina kirefu na hatimaye kuokolewa haraka na vijana wa Kiumbe Video, mimi bwana sijui kuogelea nilishindwa kuwaokoa.

No comments: