22.11.13

Monday, September 27, 2010

The Making Video ya ACTION imekamilika kwa vipande vya Miss Triniti kutoka JAMAICA.

Mchana zilipigwa shot tofauti tofauti pale hotelin na hivi ni vipande vingine vya mchana

Usiku huu Cpwaa na Miss Triniti walikuwa wanamalizia shot zao hapa Maisha Club na kila kitu kimekwenda sawa kabisa. Kesho mwanadada ndio anatarijia kurudi nchini kwao.

 Picha ya mwisho yakuagana na wanadada hawa kutoka hapa Maisha Club. 
Na mimi ngoja nikapumzike sasa, clip za video hii vinakuja baada ya dakika 0.

No comments: