22.11.13

Monday, September 27, 2010

THE MAKING OF ACTION "CPWAA & MISS TRINITI.

Mchana huu nipo huku Masaki kwenye hotel moja inayoitwa DOUBLE TREE, hapa kuna uchukuaji wa picha za video mpya ya Cpwaa na Miss Triniti. Kwa sasa ameanza shot Miss Triniti na tukitoka hapa tutaelekea sehemu nyingine

Swagga za mwanadafada Triniti hizi hapa

 Luka from Bongo5 & Dj Choka


3 comments:

Anonymous said...

Ebwana dahhhh

Anonymous said...

huyu dem mbona anaonekana wakawaida saana wala sio star kiviile na ndio maana amekubali kufanya yote haya

Anonymous said...

wewe unayesema wa kawaida hujui fani. si suala kwamba amekubali sanaa ni KAZI si utani. Hata hao ma supastaa wanajituma kichizi na kwa taarifa yako kabla ya kufanya hata shoo ndogo tu wanasali. Hawa mastaa wakishalipwa hawana utani ni kazi kazi tu na wanataka ubora kwenye fina product. Wewe ndio wale wabongo bongo mnaolewa sifa na kudengua, usifikiri waliofanikiwa nje wako hivyo. Hongereni cpwaa kwa kumleta huyu