22.11.13

Friday, September 17, 2010

MANENO YA NAKAAYA BAADA YA KUICHAGUA CCM.

Changes from within. Lots of guys are quick to judge, If I could do something where I was, I would.
The support system was very low. its easy to talk about what you don't know... but I did what I had to do.
sikutegemea nyote mtafurahia but #this is politics#

13 comments:

Anonymous said...

mwana hii habari ya huyu mdada anayejiita Nakaaya imenshitua sana coz nilikua namuaminia kua ni mpambanaji wa ukweli kwa vijana wa kitanzania wa leo so naye kaamua kurudi kwa baba zake CCM sio mbaya ila katuacha na maswali ilikua nini ajifanye yupo chadema? KUNA SIRI GANI HUKO IMEJIFICHA HADI KAKIMBIA? lakini alipoona kakosa hata kuchaguliwa katika viti vya ubunge maalumu vya chadema kaamua arudi kwa wazee wake CCM CO? ILIMPASA AKOMAE HUKO HUKO HADI MWISHO AU ANAJUA NA YEYE ATACHAGULIWA KAMA WENZAKE KATIKA SERIKALI YETU YA AMANI YA CCM, MI NAMUAMBIA HUKU NAKO TUMESHTUKA HAKUNA VYEO VYA BURE BURE BILA KAZI SO AKOMAE NA HUKU ILI APATE ICHO ANACHOKITAKA......!!!!
A PEACE OF ADVISE TO HER, KUHAMA HAMA SIO KUKOMAA KISISASA BALI NI UCHU WA MADARAKA TUMEWASHITUKIA.
ni hayo tu ya mtazamo wangu ni mimi Dogo Johnson wa www.dogojohnson.blogspot.com.

Anonymous said...

jamani si mnaona sasa,we gotta pray 4 her $$$$$ coz anapata tapa huyo mdada
afuati sera za chama anafuata ulaji hii ni kutokana na statement yake hapa na ccm wanakubali hiz trash..njaaaaaaaaaa tupu,huna jipya yaani leo ndo umuudhihilishia umma kuwa ur nothng bt a gold.... ni bora umeenda huko coz you are trouble, a bomb in disguise .......

mac vzo said...

mimi binafsi nilitegemea kusikia kitu kinacho fanana na hicho muda wowote kutoka kwa huyu mwana mama coz sio rahisi kwa mtu yeyote kumkubali huyu mtu ktk siasa coz msanii ambaye bado ni mchanga sana ktk ulimwengu wa sanaa hap nchini na sijaona mchago alioufaufanya mkubwa kiasi cha kuingia ktk siasa na kugombea hiyo nyadhifa anayo hisi yeye kuwa na simple, kitu cha kumwambia ni kuwa siasa sio sehemu ya majaribio hata kidogo pia nina amini hata uko ccm alipoingia bado ndio yale yale yatajiri mwisho wa siku atakuja kuachana kabisa na siasa na kufanya shughuli nyengine tena zitakuwa ni tofauti na muziki i know it will happen, its me MAC VZO am out.........

Anonymous said...

wewe njaa tu huna lolote,CHADEMA hatutaki wanafiki nenda zako

Anonymous said...

she's confussed and very desperate to become successful. She need a rehab or rest to put her mind together.

Anonymous said...

naona baada ya track yako ya mr politician sasa na wewe umeamua kuwa miss politician. unaonekana huna msimamo au maamuzi sahihi, angalia unapotea karibu ktk kila kitu- frm MI, deal la SONY BMG NA SASA KIMZIKI UPO KAPUNI!! LABDA UHONGWE KACHEO HUKO BT JUA WALISHASEMAGA HUWEZI KUTAKA KULA PASIPOKULIWA!!!!

Anonymous said...

Njaa tu huna lolote..umekosa bwana chadema.sasa unaenda ccm..na ccm wanaume wote wana wake zao

Anonymous said...

If u could, u would what!

She had the opportunity to shine in music apart from having the support of the giant name in her music career but she did nothing and lost it.

She had the support of the opposition but she could'nt utilise the opportunity others r still looking for!

And yet moving to the wrong direction, where would she be in the next 5 yrs?

I'll be there to ask her the same question.
Lost in the Dark, time waster!

Anonymous said...

Kuna wagombea ubunge wengi wa hicho cham wanalalamikia hilo la kukosa support toka makao makuu yao

Anonymous said...

Nakusapoti 100% kwa hilo ulilosema uweze kujua uzuri na ubaya wa kitu mpaka uwe ndani yake watu wanachonga sana lakini hawajui what is real going on kwenye hivi vyama vya siasa ni rahisi kuongea but jaribu kuingia ndiyo uone ukweli wa mambo kila chama kina ubaya na uzuri wake hivyo ni vizuri mtu akachagua kutokana na mwelekeo wake mwenyewe.

Anonymous said...

Naakaya in politics you must be strong and know your direction! We know politics always full of blah blah, but still knowing direction and stick on what you believe is a major backbone of it. You said a lot about ruling party and it's leaders, and people believed on you. Because at that time you seemed as someone who real have " msimamo" and "uchungu" na watu and nchi as whole. I hate politics "and hate those who are fooling around with it. How much did they pay you? Or what did they promise U? Recording deal? Put you on famous people list or least again? Mhh think about this...
KNOW YOUR DIRECTION SISTER!

Anonymous said...

i think huu it is somekind of betrayal n nothing else ! i thnk offer waliokupa must b real convinced miss politician i do expect to u see u in parliament nxt yr! bt thy can use u first
best wishs buddy
its
jonvil

Anonymous said...

all i can say politics is dirty game!miss nakaaya or MISS POLITICIAN shame on u!!why dont u be on side line for a little while before you jump to another party,thats show how cheap u r and ur most HYPOCRITE woman in tanzania.