22.11.13

Monday, September 20, 2010

MZIKI MZURIIII KUTOKA MACHOZI BAND JANA.

Baada ya kutoka kwenye video tuliona tukapumzike kwa dada yetu Lady Jay Dee pale Masaki huku tukipata mziki mtamu kutoka kwa Machozi Band..

Ma nica Mbaileeeeeeeee

Taasisi masela & Dj Choka,

3 comments:

muhuni said...

hapo beni kinyaiya umechemka hiyo uliyo vaa bana sio body tite ya kiume ni blauzi ya kike kabisaa hebu usirudie tena bana mkiwa mnanuua nguo muwe waangalifu sana

Anonymous said...

T.I.D hiyo sigida au kaajali fulani ,pia najua tabia sikuizi kidogo umejirekebisha lakini bange vp umeacha?

Anonymous said...

naimba number ya simu ya huyo dada aliyevaa chui chui