22.11.13

Wednesday, September 15, 2010

NEW STYLE BONGO BOLINGO FLEVA "H-BABA"

Mtu mzima H.Baba ameamua kuja na style yake nyingine inayoitwa BONGO BOLINGO FLEVA ambayo inatakuwa na maadhi ya Kibongo iliyochanganyika na Bolingo na ili kudhihirisha hilo jamaa ametoa video ya wimbo wake huo na ndani ya wimbo huo ndio utajua nini anachokizungumzia H.Baba. Wimbo unaitwa Nipe Kidogo ambao ameufanyia katika studio ya AM chini ya Producer Maneck.


3 comments:

Anonymous said...

wimbo mzuri ila jamaa kamuiga sana fally ipupa kuanzia mavazi hadi uimbaji

Anonymous said...

BAD VIDEO, INAKUWAJE LEO HII UNATUPA WASHABIKI WAKO KITU KISAAFI KWA TRACK LKN VIDEO MH!

Anonymous said...

Hana lolote huyu mjinga,kafulia tu na yeye huyu