Wakati mimi niko huko MJ Rec mtu mzima P-Funk Majani alinivutia waya na kuniambia mdogo wangu hebu tukate haya makelele ya kitaa, me na Afande hatuna beef tena na tumekaa chini tumeyamaliza na sasa hivi tunafanya mambo mengine mazuri tuko studio.
Pichani ni Ferooz, Afande Selle na P-Funk
Kiukweli nilifurahi sana kusikia hivi coz Afande na Majani wametoka mbali na vitu kama hivi havijengi bali huwa vinabomoa na kuleta chuki ambayo huwaambukiza hadi mashabiki wa mziki huu wa kizazi kipya.
1 comment:
baabu kubwa
Post a Comment