22.11.13

Wednesday, September 15, 2010

OCHU AJA NA WIMBO UITWAO DAR ES SALAAM

Ni Track Mupya na kwa sasa inakimbiza mbaya katika radio mbali mbali...Ochu kwa sasa yumo kati ya Artsts ambao wameingia mkataba chini ya usimamizi wa kazi na Seductive Records pia studios hizo zimeshamshalipia cost kubwa tu kwa studios za Emptysoulz Production kwa ajiri ya video. Naomba waungwana mumpokee Ochu kwani kazi yake imesimama

5 comments:

Anonymous said...

KAKA HUYO OCHU NAMKUBALI SANA NA PIA KIPAJI ANACHO DOGO. TRACK YAKE INGAWA INABANIWA KIANA NA WATU FURANI LAKINI NAONA KILA WAUNGWANA TUKIISIKA HATA MARA MOJA INAKAA VICHWANI. BIG SANA SEDUCTIVE NA VIDEO PIA TUNAISUBIRI MAANA HAO EMTYSOULZ NAWAAMINIA WAKO MAKINI SANA.
SHUKURANI KAKA CHOKA KWA KUTUPA VIPAJI KAMA HIVI HADIMU.

Anonymous said...

Hivi huyu sio mtoto wa marehemu eddy sheggy???? Nimeiskia nyimbo yake ya Dar es Salaam na imesimama mbaya naona anafata nyayo za babake maana anatisha. Emptysoulz fanyeni kweli kama kawa tupata vitu adimu .....tunaimani kubwa kwamba nyimbo mtaiganyia haki kwenye viseo yake.

Anonymous said...

wimbo wenyewe uko wapi mbona mnatizingua

hassan hafidh said...

ebwana hili songi lingekuwa na video ingekuwa funika mbaya maana wimbo umesimama..umesimama

saitoti said...

hii seductive rcords iko Tanzania hii?? track imetulia naweza pata namba za wahusika wa studio na je wanarekodi nyimbo za dini

ni mimi saitoti wa arusha