22.11.13

Friday, September 03, 2010

PACHA MWENZANGU ALIPOAMUA KUCHUKUA JIKO. (MKE)

Mimi ni MC KESSY (Michael F. Kessy ) Wa Millenium Tower Makumbusho,
Hizi ni picha za harusi yangu iliyofanyika katika ukumbi wa Police
Mercie baada ya kutoka kanisa la Katoliki St Joseph Jumamosi ya tarehe
28/08/2010 hizi ni baadhi tu ya picha za ukumbini nikiwa na mke
wangu kwenye keki.

Hapa tukisubiri maneno ya MC ili tuweze kulisha NDAFU...kwa wachaga kama dj choka hii wanaijua vilivyo.

Hapa nikiwa na ndugu pamoja na Mr & Mrs
Thadeus Tarimo wakishirikia na wafanyakazi wenzangu wa
kampuni ya Stambuli na Lucas Construction.

Hawa sasa ni wale wateja mashuhuri kabisa wa pale Millenium Tower Internet pembeni na Steers kwenye lile benchi nao walikuwepo kumpa tafu kijana mwenzao.

Sasa ndugu yangu Michael kwa mimi niliyekosa ili mchango wangu usiende bure nitakuja hapo Internet na kusafu bureeeee kwa mwaka mzima haha ahahaa.

Mahike Company Limited
Entertainment Services
Office located, Ubungo Nhc Social Club
(Behind Ubungo Plaza)
Dar es Salaam Tanzania

Box 55095
Te +255 0222461423
Fax+255 022 2771265

Email's : mahike@kipele.com
: kessy@linktanzania.com
: kessy.plus@gmail.com

Websites: www.linktanzania.com
: www.kipele.com

No comments: