22.11.13

Friday, September 03, 2010

WIMBO MPYA KUTOKA KWA NAKO 2 NAKO.

Leo nimepokea wimbo mpya kutoka studio ya Noizmekah iliyopo kule Arusha chini ya Producer DX. Wimbo huo unaitwa KATIKATI na umeimbwa na Lord Eyes, Gnako na Boo Nako wote hawa wakiwakilisha kundi la Nako 2 Nako.
Usikilize halafu mnipe maoni yenu mnauonaje na mnaupa asilimia ngapi.

1 comment:

Anonymous said...

N2N!!!
nawapa 10 out of 10

ndio wazee wenyewe, hakuna mjadala hapo.
Ni wagumu,wanamwaga sera za nguvu, hakuna anaye wafikia wala kuweza kuwacopy, Talented ....etc!

Tangazeni kazi yenu, mfahamike afrika na dunia plzzzzz!

Last 4ever N2N