22.11.13

Friday, September 24, 2010

PRODUCER P-FUNK AONGELEA ISSUE NZIMA JUU YA YEYE NA AFANDE SELLE

 Nimepigiwa simu jioni hii na P-Funk aka Majani ameizungumzia issue yake na Afande na kusema kuwa ni kweli Afande Sele alikua ana ngoma kwake lakini alikua hajamalizia kuilipia na jana ndio alikuja ghafla tena usiku na kuilipia but Afande alikua anaitaka fasta ili akai-release kwenye radio ila Majani alikua ana ratiba zake nyingine....So alikua hajambonji almost wiki nzima na alikua amekunywa dawa na kupumzika kidogo na ndipo Afande alipotinga na kutaka track yake ili akaiachie kwenye show. ......

Kwa mujibu wa P-Funk sababu ya kumpiga "tena kibao tu" Afande ni kuwa alipotoka nje alimkuta Simba Dume akila "Cha Arusha" nje ya geti lake...na Majani ametamka kuwa hana noma wakae pamoja then wayamalize wala si lazima yafike "kwa kova"!  
KINACHOONEKANA HAPA NI KUWA HAKUNA BEEF,BALI NI LUGHA GONGANA TU BAINA YAO!

1 comment:

mziwanda said...

CHOKA PLEASE,DONT USE GOOGLE TRANSLATE AGAIN.THAT THING IS NOT PERFECT