Akiwa nje ya Office ya Bill Gates (
Microsoft)
Akiwa ndani ya Office...
Wakati akiwa ndani akizungumza na jamaa camera hazikuruhusiwa kabisa, so maongezi yalikuwa mazuri na Prof Jay aliweza kubadilishana nae mazungumzo na kumwambia jamaa juu ya matatizo yanayotukabili kuhusu utandawazi wa computer na Internet pia
Hahahhahaa i love dis coz ime make headline.
11 comments:
Ni hizi hizi fiksi ninazozipenda. Bill Gates sio CEO of Microsoft, aliacha hiyo position kitambo. Steve Ballmer ndiye head of MS. So imekuwaje umeongea na Bill Gates at Microsoft wakati Bill Gates hayupo Microsoft? Choka, tafadhali iruhusu hii comment, asante.
HAPO MBONA MJAFAFANUA VIZURI HUYOJAMAA AMBAE ALIKUWA ANAONGEA NAE PROF ALIKUWA JAMAA GANI NI BILL GATES AU VIBALAKA WAKE TU, NA KAMA KWELI ALIONANA NA BILL GATES ALIENDA YEYE KAMA NANI? MAANA NINAVYOJUA KUONANA NA HUYO MTU SIO KITU CHA KAWAIDA HATA KWA WAMARECANI WENYEWE.WEKA MAMBO WAZI BWANA HII BLOG INASOMWA DUNIANI KOTE ISIWE CHANGA LA MACHO MKUBWA
Hapo unaposema alikuwa akizungumza na jamaa ni jamaa gan? Achen uongo bwana! Sasa J apeleke hayo matatizo yeye kama nani?!! uongo mwingine bwana!. Kaka kuzungumza na BILL GATES tena ofisin kwake it is strictly imposible kwa mm, wewe, J na wengine kama unabisha mtembelee YUSUF MANJI, REGINALD MENGI ofisin kwao huo ugumu wake linganisha na kumtembelea GATES
nimeipenda hii, "ime make hardline",.. andika ki swahili kaka...
is it headline or hardline?
TATIZO LETU WABONGO TUKIENDA NJE BASI TUNAONA KAMA SIJUI NDIO TUMEENDA WAPI SIJUI NI PEPONI, MBWEMBWE NYINGIIII NDIO YALE YALE YA KANUMBA ALIVYOJIFANYA AMEENDA HOLYWOOD KUMBE HATA KUISOGELEA HAJAWAHI NA NISHANI YAKE YA KUJIPACHIKA AKATUPIGA FIX AMEPEWA NISHANI JAMANI TUWE MAKINI DUNIA SASA IMEKUWA KIJIJI NA FID Q ANASEMA YEYE ANAIGEUZA KITABU FANYANI MAMBO MKIJUA WATU WAKOMAKINI ZAIDI YA NYIE MNAVYOFIKILIA HEBU INGIA KTK GOOGLE THEN TAFUTA CEO WA MICROSOFT NA THEN TASUTA WASIFU WA BILL GATES HUONE UONGOWAKO MWENYEWE ACHENI HIZO BANA WABONGO WENGI MKIENDA NJE BASI MTAPIGA PIGA VIPICHA WEEEE ILIMLADI TU MJE KUTUDANGANYA ni hayo tu
Kwa kigezo gan mpaka huyo J aweze kuonana nae huyo 50Cent mwenyewe na kujulikana kwake alipopata nafas ya kupiga picha na BGates hiyo picha kaipaisha mpaka kwenye MTV Crib yake.. Labda kidogo ungentel kuwa J alienda hapo kuomba kupigia picha za kuuzia sura hapo sawa kidogo ningekuelewa. Sio kuwa ni majungu ila hiyo ndo reality
jamani inawezekana sababu prof. jay ni mwanamuzi pia ni professor sio mtu mdogo.kaenda kumlalamikia kuwa computer yake imeshambuliwa na virus.
acheni kusema uongo at least ungeweka kuwa unatania baada ya kumaliza STUPID hata facts zenyewe huna mtadanganyana huko huko mnaosubiri kuwapamba ili wakirudi wawanunulie safari lager na ndio maana upeo finyu eti CEO wa Microsoft VERY STUPID OF YOU
Wewe kila mtu hapa anaweza kwenda kwenye ofisi hizo, kwanza hiyo ni branch tu, head office siyo kabisa, acheni uongo wenu.
Dj Choka, nini sasa hii. No comments, sababu naifahamu sana office hii, siyo head office ya BG, ni kama vile offices za vodacom, Zain maeneo mbalimbali ya Dar...Jamani mbona tunadanganyana hivyo...
Post a Comment