22.11.13

Saturday, September 18, 2010

UTARATIBU WA KUMZIKA MAMA YAKE MRISHO MPOTO.

Najaribu kuwapa utaratibu wa kumzika mama yangu mzazi, mama mzaa chema, mama Mrisho Mpoto. Kwakua yeye ni mtu wa pwani na aliomba azikwe kwao, kesho msiba utaondokea Temeke Hospital kwenda Rufiji asubuhi saa mbil kamili. Ukiwa kama rafiki au shabiki wa Mpoto unakaribishwa kumsindikiza mama Mrisho. Usafiri utakuwepo kwa watakaopenda kumsindikiza.

No comments: