22.11.13

Saturday, September 18, 2010

YALIOJIRI LEO JIONI KWENYE SPRITE BASKETBALL

Hawa ni baadhi ya vijana walioshiriki kwenye mchezo huu wa basketball uliofanyika jioni hii pale Liderz Club na kuna baadhi ya vijana walichaguliwa na wataenda kule USA kuangalia ligi ya NBA

Msanii wa kwanza kutumbuiza alikuwa ni Joh Makini

Akafuatia Cpwaa kwa steji

Wakafuatia TMK Wanaume Family

Mtu mzima Chidi Beenz ndie aliyefunga show kwa upande wa wasanii

Basi show hizo za wasanii mtamboni nilikuwepo mwenyewe kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa

No comments: