22.11.13

Tuesday, September 21, 2010

ZAWADI YANGU YA B,DAY KUTOKA KWA MAMA.

Mda huu wakati nipo home sina hili wala lile mama yangu mzazi katoka kazini akaniletea mzigo getto kwangu...kufungua kumbe ni album ya Machozi Band.
Halafu baada ya kunipa akaniambia nisikilize wimbo namba 5 ambao unaitwa ELIMU SHULE.

Album hii inanyimbo 12 nazo ni:
1. Raha
2. Siku ya kufurahi
3. Teja
4. Mtarimbo Doro
5. Elimu Shule
6. Nilivyo
7. Tunakuja
8. Uko Juu
9. Inuka Simama
10. Nilizama (Brotherman)
11. Natamani kuwa Malaika
12. Teja (Afro Pop)

5 comments:

Anonymous said...

woooow!!nimeguswa.wish niusikie huo wimbo.no one like mama in the world

Anonymous said...

mama yako ni single-mother? sijamuona mshua

Anonymous said...

hiyo ni promotion tu dj choka wajanja tumeshtukia

Anonymous said...

mama anaona toto halina mwelekeo bora nilinunulie hata cd litaelewa namaanisha nini

Anonymous said...

hata ukibana ujumbe umefika hapo unafanya promotion