22.11.13

Saturday, October 15, 2011

SHOW YA MADJ WAKONGWE @MAISHA CLUB

 Jana pale Club Maisha kulikuwa na show kutoka kwa madj wakongwe hapa bongo, namzungumzia DJ JD pichani, pamoja na DJ D White na DJ Majay. Nilifurahi sana kuwepo katika show hii maana hawa ndio nilikuwa nikiwafuatilia toka kitambo nikiwa nasoma na wakati ule natoreka kwenda club basi dj D White alikuwa akiingia zamu yake ku play nyimbo basi mimacho na akili kumtiza yeye.

 DJ D WHITE

 DJ Bike, DJ PQ, DJ Bulla, DJ Talik, DJ Ziro & DJ Choka