22.11.13

Wednesday, November 30, 2011

Joh Makini ft G Nako - Bye Bye (Official Video)

4 comments:

Anonymous said...

huyu jamaa fake sana amesample ile nyimbo ya jay z inaitwa Brooklyn we go hard,broke niggaz acting hood wakilisha where u from sio kucopy style za watu...

Anonymous said...

let him do his thang me...wabongo mnaponda sana.the guy is trying and to be honest i enjoy his music period.

Anonymous said...

JAMAA ANAMGEZA SANA JAY Z, ALIANZA VIZURI AND HONESTLY HE CAN RAP LAKINI SIWEZI KUVUMILIA THIS LEVEL OR FAKENESS AND COPYCATING

Anonymous said...

Ha haa haaa....Joh kaza buti c unaona washakufikisha level za Jay Z wenyewe kwa kukufananisha nae,wala hyo ngoma haifanani na brooklyn.. huyo "sharogangsta" lazma atakuwa na ka'singo chake kalichockika na masela wake mtaani kwao tu ndo maana kaonyesha kiwango hicho cha usnitch...."huyo jamaa anatukumbusha kusoma ishara za mtaani mbwa yeye analamba reli kama hivo"...keep it up coz mtoto wa kiume hashindani kuonyesha boxer wala kutingisha matako stegini mbele ya wanaume wenzake tena waliolewa kwa kisingizio cha kutoa burudan kwa mashabiki ili apewe hela....."kwenye skonga yako hatutaki mtu anaingiza vocal huku kabana pua arifu"...hip hop city(a'city) kama kawa tupo nyuma yenu wapotezeeni hao wakata viuno....."A-CITY IN DA HOUSE"