22.11.13

Wednesday, November 30, 2011

Sidhani kama kuna matatizo yoyote kati yangu na B HITS "JOH MAKINI"

Joe Makini akizungumza na AMPLIFAYA ya Millard Ayo, amesema 
“sidhani kama kuna matatizo yoyote kati yangu na B HITS kwa sababu hata jana nilikua na Producer wao PANCHO LATINO, na kilichotokea ni bahati mbaya tu Adam hakuandika B HITS kwamba ndio wamehusika kuitengeneza hiyo AUDIO, hata hivyo sisi wenyewe hatukutegemea kama ingekua kitu kikubwa hivi na kuleta mvutano mkubwa kama huu, ni kitu ambacho ni cha kurekebishwa tu kirahisi” – JOH MAKINI

No comments: