22.11.13

Monday, November 28, 2011

JOH MAKINI YOU HAVE OFFICIALLY PISSED OF B'HITS "Herme B"

 
Baada ya kutoka kwa video mpya ya Joh Makini BYE BYE mmiliki wa studio ya B'Hits Hermer Tyrol Lyimo aka Herme B amekuja juu na kuandika maneno hayo hapo chini kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Joh Makini You Have Officially Pissed Of B'Hits, Wimbo wa bye bye tulikupa bure baada ya kutujibu kwa dhihaka tulipodai malipo yetu, Hata kutupa Credit zetu kwenye video umeona kazi pia, ama kweli shukrani ya punda ni mateke, we mtu gani? Kumbuka ulipotoka!!! Kumbuka Enzi za Magic Fm!!!

12 comments:

Anonymous said...

Duh hii kali aisee

Anonymous said...

Kinachotakiwa ni kujifunza kutokana na makosa

Anonymous said...

mimi nadhani Joh angeweka tu kama shukrani maana sasa hadi mtu mzima anakuja kufunguka hivi mmh hatari

Anonymous said...

UJINGA TU HUU...

Anonymous said...

duh!!! kali sana

Anonymous said...

uoga wa maisha tu huo, kirusi ka vingine tu hana tofauti na Afande sele na wenzao (virus)

Anonymous said...

Anakata credit gani ikiwa tayari JOH MAKINI amempa credit mwanzoni wimbo unapoanza Joh makini anasema PANCHO kwenye 0:21 seconds ikifuatia a tag iliyopo kwenye Beat inayosema B'HITS
if your professional producer you can't complain about credit keep moving.We need GOOD MUSIC.
siko UPANDE WA JOH MAKINI WALA B'HITS LETS BE HONEST.

Chobaray - CHOFACO RECORDS

Anonymous said...

Harmy B..jst take it easy brother he knows exactly what he did to you and hopefully he will apologize or fix up the debt..but when it comes to video it is his own choice..!!!dnt get me wrong its jst a thought!

Anonymous said...

we chobaray wa choco records ni mjinga na utakufa maskini tu,mtu kama harmy b anatetea haki za vistudio vidogo kama nyie msio na mbele wala nyuma. Harmy tayari ni tajiri mtu ana makampuni lakini anapoteza muda wake kunyanyua muziki. wewe huna tofauti na afande sele...CHOCO RECORDS

Anonymous said...

Chobaray is not a local producer na Chofaco records sio studio zetu za uswahilini,chobaray ni studio iko mbele kuliko studio zetu hizi za uswahilini,uliza kwanza kabla ujaongea!uwezi kumlinganisha chobaray n hermy b,mtu anayefanya kazi na wakina cassidy,kid similez,cory flook na mtu anayejanya kazi na local artists,

Paul - Amsterdam

Anonymous said...

CHOFACO OR CHOCO...? USIJIFANYE WEWE UPO JUU MR CHOBARAY, KWANZA INAONEKANA NI WALE WASHAMBA WA LONG TIME MITAA YA WAZUNGU MNAONUNUWA NGUO OXFAM NA KUBEBA MABOX LEO HII UNAMPAKA HERMY ETI NI PRODUCER MDOGO HUNA KITU NA HATUKUJUI SISI HUKU TZ KAMA ULIFANYA NA HAO KINA CASSIDY MBONA HUJULIKANI?? NA HAO WENGINE CORY FLOOK HUYO NDIYO KABISAAAA ARTIST SI MKUBWA NA HAJULIKANI HAPA KWETU. WEWE FUNGA HILO DOMO LAKO ACHA WATZ NA MAMBO YAO.B'HITS NDIYO MPANGO MZIMA

Anonymous said...

HUYO CHOFACO ANAJIFANYAGA MJUAJI SANA, NAMUANGALIAGA MARA NYINGI TU NA MMEZEA. KISA ALIFANYA WIMBO WA FID Q DANGER AMBAO WENYEWE MBAYA PRODUCTION WISE KULINGANISHA NA MAWE YA OPANCHO NA HERMY B. NIGGA KWANZA WE NDO MPENDA CREDIT, KUTWA NZIMA KUSHINDA KWENYE BLOG KUTAFUTA UMAARUFU FROM COMMENTS... UNGEKUWA PRODUCER MKUBWA KWELI USINGEKUWA NA MUDA WAKUINGIA HUMU KUANDIKA MAONI YAKO PUMBA. NA HUYO PAUL WA AMSTERDAM, ACHENI KUSHOBOKEA WATU KISA WAPO MBELE NA PIA HAO WASANII WA MAMTONI TOFAUTI YAO NA SISI NI KWAMBA WAO WALITOKA KWENYE KUMA ZA DETROIT SISI ZA KIMANZICHANA BAAASI NOTHIN SPECIAL.

MBEBA BOX - CHICAGO. ILLINOIS