22.11.13

Wednesday, December 14, 2011

Arusha Pamoja Na Mr Ebbo Daima...

Kuondoka kwa brother Ebbo hakika hi pigo kubwa kwetu sisi wasanii pamoja na wadau wa muziki huku arusha,Maanani ndiye anayetoa na kutwaa,hatuna la zaidi bali kuzidi kuiombea familia ya Motika,Kwa pamoja wasanii na watangazaji wa vituo vya redio tumeungana kufanya nyimbo hii noizmekah studios Arusha kwa DX na milele iwe kumbukumbu kwetu na mashabiki wa muziki Arusha na Tanzania pia,Tulikupenda ila Muumba kakupenda zaidi.Tembelea noizmekah.com kuupata wimbo huu kumuenzi Marehemu Brother Ebbo. Pamoja sana...

No comments: