22.11.13

Wednesday, December 14, 2011

NEW TRACK: C-Sir Madini "KIFUNGO HURU"

Tetemesha Recordz tunawashukuru fans wote kwa kumpokea vizuri msanii wetu mpya C-SIR MADINI ambae tulirelease wimbo wake wa kwanza mwezi June 2011 unaoitwa KIFUNGO HURU ambao umefungua njia kwa C-sir mwenyewe na kutoa dalili njema za mafanikio ya hapo baadae. Tunapenda kuwataarifu kuwa mwezi January 2012 tuta release wimbo mpya wa C-sir Madini unaitwa NISHIKE MKONO, tutaanza kutoa audio then video itafuata muda mchache baadae. Kwa wale ambao hamkuupata wimbo wa kwanza wa C-sir Madini - KIFUNGO HURU, mnaweza kuu download hapa kwa promotion purposes.Tunashukuru kwa support ya kila mmoja kwa sehemu yake. Tunawatakia heri ya Xmas na mwaka mpya fans wote wa muziki wa Tanzania popote mlipo. Tetemesha, Here is where Talent lives.
  

No comments: