mmmh nyie hapo juu wote wanafiki...let the guy do his thang..sasa hapo anajishaua nini?kumbuka the guy is a musician manjonjo lazima yawepo.akipooza mtadai jamaa hana swagga...waswahili bwana sijui mtakuwa lini na roho ya kuwasifia wenzenu na kupenda vya kwenu...it's so fuckin clear that you who commented above are fuckin haters...the boy platnumz is whipin ya asses...stop hating,give him the credits he deserves.that's all..hope you'll take this positively..i am being real though
@Kimtazamo tofauti, tha guy anavyosifia vitu az if ni vyake mnafikiri ni sawa? Si vizuri ku copy kila kitu from abroad, those pipo huko mbele wanamiliki hivyo vitu. Dah dogo alitaka kutomsalimia hata mwenye kwake na nyumba yake na gari yake Play ur cards right while it early. Mr Nice alikuwa zaidi yake na leo hii...??
8 comments:
yani wewe sikuhizi umekuwa na mashaudhi mpaka unauzi usipo angalia utapoteza mashabiki wako angalia.
we mwache, katusahau wabongo. leo tunamsifia kesho tunamzomea hatuna ushabiki wa milele sisi
aaaaa sana leo mzuri kweshi mbaya tena sn tusahau completely
mmmh nyie hapo juu wote wanafiki...let the guy do his thang..sasa hapo anajishaua nini?kumbuka the guy is a musician manjonjo lazima yawepo.akipooza mtadai jamaa hana swagga...waswahili bwana sijui mtakuwa lini na roho ya kuwasifia wenzenu na kupenda vya kwenu...it's so fuckin clear that you who commented above are fuckin haters...the boy platnumz is whipin ya asses...stop hating,give him the credits he deserves.that's all..hope you'll take this positively..i am being real though
mnalalamika nini hizo ni swaga tu, i like it! keep it up diamond tupe waha. wanaotaka gospel waende kwa gospel music!
nimependa swaga za diamond, kimamton vile!!
@Kimtazamo tofauti, tha guy anavyosifia vitu az if ni vyake mnafikiri ni sawa?
Si vizuri ku copy kila kitu from abroad, those pipo huko mbele wanamiliki hivyo vitu.
Dah dogo alitaka kutomsalimia hata mwenye kwake na nyumba yake na gari yake
Play ur cards right while it early.
Mr Nice alikuwa zaidi yake na leo hii...??
kaka umechapia hiyo sio V80(eighty) ni V8 mkubwa.
Post a Comment