22.11.13

Friday, January 13, 2012

Anahitajika Secretary mzoefu

Hello Wadau

Anahitajika msichana mwenye uzoefu na kazi za secretarial na office management, umri kati ya miaka 25 mpaka 35 mwenye uwezo na kufanya kazi kwa nzuri kwa usimamizi mdogo.

- Awe anafahamu kutumia kompyuta(Ms Exel,Powerpoint,Word and Internet)


Kwa wanaohitaji tafadhali tuma CV yako kwenye email hii kabla ya tarehe 20.01.2012 : Ufishiconsult@gmail.com

Ahsanteni sana kwa ushirikiano na siku njema

No comments: