22.11.13

Friday, January 13, 2012

HILI NALO NENO......Mweh

 
Peter Msechu akiwa Kigoma
Pamoja na mji wetu KIGOMA kusahaulika katika takribani kila sekta ila niuponggeze uongoz wa mkoa kwani sasa umeme ni full time... Nina week toka nimefika umeme hauja wah katika.... Na umeme wetu ni wa jenereta tofaut na mikoa mingine wanakotegemea maji.... Vitu kama hivi vikifanyika katika mkoa wetu kweli kabisa maendeleo yatakuja kwa kasi na hata uchumi wa taifa kupanda....ninachotaka kuuliza ni kwamba ivi hawa wabunge wa huu mkoa wetu wa kigoma je wanaishi huku kwao??? Wakaona hali halisi ya maisha huku???? Au wamejichimbia huko??? Wanasubiri maafa ndio waje kutupa pole??? Sintoacha kuongea.... Nakupenda kigoma

2 comments:

Anonymous said...

nimeipenda hii,,,,,,,,,,,,,

Anonymous said...

hata kama hawaishi huko bt i think wako well linked na nini kinaendelea huko ndo maana wanawasemea matatizo yenu bungeni na wako very active that means wanatimiza wajibu wao,mimi naishi dodoma na nyumba yetu ni ya3 tu kutoka kwa mbunge ambae hata haondokagi yupo 24 seven bt haongei kitu bungeni ni upuuzi mtupu kwani mbunge is an envoy na cha muhimu kwa envoy is a word not a presence,umenisoma we dogo msechu
its me maakili a.k.a genius wa dom