22.11.13

Wednesday, February 15, 2012

B,DAY PARTY YA LINEX @Samaki Samaki Mbezi Beach

Jana usiku pande za  Samaki Samaki Mbezi Beach msanii wa bongo fleva Linex alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa. Ilikuwa siku ya furaha kwake kwani alialika watu wengi marafiki na masupastaa wa bongo,  

Sinta & Wema Sepetu 

Ditto & Kenny 

 Linex na Skwash Girl

 Shemeji akimkatia keki brazaaaa

Ditto akipata kipande cha keki

Linex akimlisha keki producer wake C9 kutoka Kiri Rec

Amini kutoka THT akipata keki yake

Jamaaa akayachezea maji mwilini

 Linex na Sauda Mwilima kutoka Star TV

3 comments:

Anonymous said...

choka bongo vipi siku hizi, naona hao masister kila mtu anaunua weupe, kwani rangi ya kuzaliwa hailipi siku hizi? cheki huyo mtoto wema anavyojiharibu mwana, wakati alikuwa powa kichizi yani.

Anonymous said...

nakuhunga mkono kaka japo ujakatika kweli wema kaharibika anamichirizi kwnye mikono na mapajani ameharibika sna bora kiongozi wetu alivyon`gatuka

Anonymous said...

jmn mmecheki iyo miguuuu sasa uwiiiii ful mabaka!tisa kumi uyo JANE mwenye top ya blue yn bdala ya kulud chuo anakula bata na kuhuza K Mjini wkt hajui kuwa cxul na mambo yte!