Jana usiku pande za Samaki Samaki Mbezi Beach msanii wa bongo fleva Linex alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa. Ilikuwa siku ya furaha kwake kwani alialika watu wengi marafiki na masupastaa wa bongo,
Sinta & Wema Sepetu
Ditto & Kenny
Linex na Skwash Girl
Shemeji akimkatia keki brazaaaa
Ditto akipata kipande cha keki
Linex akimlisha keki producer wake C9 kutoka Kiri Rec
Amini kutoka THT akipata keki yake
Jamaaa akayachezea maji mwilini
Linex na Sauda Mwilima kutoka Star TV
3 comments:
choka bongo vipi siku hizi, naona hao masister kila mtu anaunua weupe, kwani rangi ya kuzaliwa hailipi siku hizi? cheki huyo mtoto wema anavyojiharibu mwana, wakati alikuwa powa kichizi yani.
nakuhunga mkono kaka japo ujakatika kweli wema kaharibika anamichirizi kwnye mikono na mapajani ameharibika sna bora kiongozi wetu alivyon`gatuka
jmn mmecheki iyo miguuuu sasa uwiiiii ful mabaka!tisa kumi uyo JANE mwenye top ya blue yn bdala ya kulud chuo anakula bata na kuhuza K Mjini wkt hajui kuwa cxul na mambo yte!
Post a Comment