Jamani wimbo ni mzuri ila unasikitisha coz hakudhamiria kama aliyoyaimba yangeweza kumkuta kwani huu wimbo ulikuwepo kabla ya kuachana na Wema . nimeskiliza mashair yake mmmhh i feel to cray. Diamond kaka upo juu big up uskate tamaa yaliyotokea ni sehemu ya maisha go on bro!
Mwenye masikio amesikia, Diamond ni hatari kuanzia utunzi, uimbaji,swagga na sauti amekamilika, nimeweka plan ya kuhakikisha nampigia kura 1000 kwenye kili music awards mpaka sasa nimeshapiga 50 ila nina uhakika nitafikisha tu. Diamond hongera sana keep it up brother.
nahisi yale malengo uliojiwekee lazima yatimie kwani huo mwendo unaokwenda si wa kawaida unatisha na utazidi kutisha bora umeachana na yule fagio nuksi tupu alikuwa nakupeleka pabaya
8 comments:
jembe langu mwanzo mwsho wafukuze adi wakujue kuwa ww c tena daimond bali ni ,,,,,,,,,,,,,,,,!!! nakukubari adi nakufa
Jamani wimbo ni mzuri ila unasikitisha coz hakudhamiria kama aliyoyaimba yangeweza kumkuta kwani huu wimbo ulikuwepo kabla ya kuachana na Wema . nimeskiliza mashair yake mmmhh i feel to cray. Diamond kaka upo juu big up uskate tamaa yaliyotokea ni sehemu ya maisha go on bro!
Mwenye masikio amesikia, Diamond ni hatari kuanzia utunzi, uimbaji,swagga na sauti amekamilika, nimeweka plan ya kuhakikisha nampigia kura 1000 kwenye kili music awards mpaka sasa nimeshapiga 50 ila nina uhakika nitafikisha tu.
Diamond hongera sana keep it up brother.
hii video imefanywa kwenye nyumba ya nani jamani duh......bongo kuna nyumba km ulaya
hongera sana nimeikubali ila mengi niliyotegemea yatakuwepo ndani km wimbo wenyewe ulivyojielezea sikuyaona
nahisi yale malengo uliojiwekee lazima yatimie kwani huo mwendo unaokwenda si wa kawaida unatisha na utazidi kutisha bora umeachana na yule fagio nuksi tupu alikuwa nakupeleka pabaya
Diamond endelea kuwakimbiza bro kwani unatisha kaka keep it up!
kaka pamoja unatisha sana
Post a Comment