22.11.13

Saturday, February 11, 2012

HILI NALO NENO......Mweh

Prof Jay

HUU WIZI WA KAZI ZA WASANII UTAKWISHA LINI? AU MPAKA TUCHUKUE SHERIA MKONONI?? SUPPORT BONGO FLAVA TUWAKAMATE HAWA MAJAMBAZI!!! 

3 comments:

NELLYNICE MNYIRAMBA said...

Tushawazoea na maneno na kulalamika kwao lakini hawana vitendo kabisa kwani wameanza leo kuongea hivyo!!!! haya ashauza jina hapo sio mbaya arudi akanyonywe vizuri mimi siwaamini hadi wakiamua kufanya na si maneno yao tu

Anonymous said...

Pro Jay nyie mnalamika kuibiwa wakati nyie ndio wezi wakuu?. kazi kucopy na kupaste miziki ya wanzenu nje. mfano Joe Makini yeye ni kumcopy Jay Z. Haya Langa naye kamcopy Mavado na De la Gheto katika nyimbo yake ya Bombaklat, haijaishia hapo naye huyo dogo Timbulo naye kawacopy Wa Ivory coast X Maleya katika nyimbo zake mbili mpya. bado tunaendelea na hao wauza sura wanaojiita wacheza sinema na wao wapo kundini katika kila picha kumi basi tano watakuwa wamewacopy waNaigeria. mkumbuke kila mla miguu ya mwenziwe na yeye italiwa. mkiacha kuiba kazi za wenzenu na nyie kazi zenu hazitoibiwa .

Anonymous said...

Mie nawashauri hawa wanamuziki wa kibongo, ni lazima wajiulize ni kwa nini wanaibiwa?? ukiangalia nyimbo zinazorekodiwa za wasanii mbalimbali na kuwekwa kwenye cd moja ni zile zinazopendwa na wengi, sasa ni kwa nini wasijiunge na kutoa CD moja bomba kwa zile nyimbo zinazopendwa??, wengi wetu hatuwezi kununua Cd ya msanii mmoja utakuta Cd ina nyimbo kumi labda zinazopendwa ni mbili au moja unategemea nini nilazima zichaguliwe zinazopendwa na kuwekwa kwenye cd moja ili mtu upate mtitiriko unaopendeza