22.11.13

Friday, February 10, 2012

MDAU ANAULIZA NA HII JE NI MSANII GANI WA BONGO KAI COPY

De La Ghetto Ft Mavado "Come Out And See"

14 comments:

Anonymous said...

boooooooo......mboklat

Anonymous said...

Msanii aliye copy nyimbo hiyo ni Langa mmhhhh kweli tutafika na kucopy copy ?.
mdau Paka la jikoni UK.

Anonymous said...

langa

Anonymous said...

langa kaa humo

Anonymous said...

ninazidi kuwadharau wasanii na ma producer wa tanzania, na hii yote ni kwasababu upumbavu wa watu waeili amabo wote hawajaenda shule na hawajui nin cha kufanya katika kazi zao unazaa ujinga akma huu. ni aibu kwa tanzania

Anonymous said...

sasa nakuja kivingine nishakua mtu mzimaaa....
hahahahaaa
kumbee ni copy n paste,
kwa styl hii we ll never b grown up!!!

Anonymous said...

AISEE WABONGO KWA KU COPY NA KU PASTE SIWAWEZI HAKI YA MAMA..DUUUUU,BEAT MPAKA KUIMBA.

Anonymous said...

langa huyo kaiga

karibu heißt willkommen. said...

hii ni riddim na kila mtu anauwezo wa kutambaa na riddim yeyote na kwenye Dancehall ni kawaida sana! langa did it gud n ni Bonge la artist!

Anonymous said...

hahaha langa aka TEja

Anonymous said...

wabongo bdo sna na snaaa wte mnamtolea macho langa kumbe nyinyi ndo hamjui kuwa huu ni muziki wa haina gani na wao ni watu wa wpi langa kma langa yy anaondoka na miondoka kma iyo na miondoko iyo uwa inafanana sna ata wenyewe wajamaica wanajua ilo tofauti ya miondoko iyo mara nyingi huwa mahana ya kitu kinachozungumziwa lakini miseleleko na bit huwa hazipishani sna fuatilieni kwanza izo ngoma alafu ndo muhaze kusema

Anonymous said...

Langa bombocrat

Anonymous said...

Langa ka copy alafu katumia katika nyimbo gani? ebu nipeni title...ni sadiki ka Thomas

Anonymous said...

Vipi kuhusu you are jerk ya new boys? Hii si so peas kaBisa from audio mpaka video