22.11.13

Friday, February 17, 2012

PROMOTA SUNDAY AJITOKEZA NA KUONGEA NA DJ CHOKA>>>>Tumsikilize

Ile habari niliyoiandika siku ya Jumanne inayomuhusu promota huyu anayejulikana kwa jina la Sunday au unaweza kumuita ITTINIZZI KUZITALA kuwa ni promota feki so wasanii wakae mbali na mtu huyu. Kama dk 15 zilizopita jamaa alinivutia waya na kuongea sana na kusema kitendo hicho kimemkera sana na kimemuuma basi me nikamwambia naomba watanzania wasikia haya yote so naomba ufunguke braza ndio akanifungukia kinoma noma msikilize hapa chini jinsi alivyowachana wabaya wake.

19 comments:

Anonymous said...

Maongezi yako unaonekana pumba tu haufanani na watu waliosoma hata hiyo shule haujamaliza ndio maana haukurudi Africa promtoter gani simu imekatika kabla haujawaaga wasikilizaji LOL,

Anonymous said...

hiyo nichuki ya wazi kabisa unayo ongea wewe. angalieni tu msije mkauwana kama wamarekani kisa mawivu ya kijinga jinga.

Anonymous said...

JAMANI WATANZANIA TUNAOISHI NJE TUACHE MAMBO YA KIJINGA YA WIVU, NDIO MAANA HATUENDELEI.YAANI MANENO YA KUZUSHIANA KILA WAKATI, KWANINI MTU USIFANYE KILICHOKULETA HUKU NA SI KUFUATILIAN AMAISH AYA WATU???SO SAD. TUNA WIVU WA KIJINGA HAMUONI MATAFIFA MENGINE YA AFRIKA WALIOKO NJE WANAVYOFANYA??TUBADILIKE NA SI WA HOLLAND PEKE YAO HATA SCANDINAVIAN COUNTRIES.TUPENDE MAENDELEO NA TUACHE KUFUATILIANA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Anonymous said...

yetu macho na masikio uko ulaya siku hizi tutayaona. ulaya yote ndo hayo hayo ya holland. rudini nyumbani basi.

Anonymous said...

Choka naomba uongee na Mzee yusufu aseme ukweli wake hapahapa.ujulikane..

Anonymous said...

HUYU AKAE PEMBENI TU KAZI SIO YAKE UPROMOTA HANA NI KUIGA TU NA MATOKEO YAKE NDO HAYA

Anonymous said...

MBONA HAJASEMA WASANII ALIOFANYA NAO KAZI WASEME KAMA ALIWALIPA PESA ZAO?
2.HUKO ALIKO WAPOKEA WASANII JE KALIPA PESA ZOTE?
3.JE SHOW YA MZEE YUSUF ULIWATENDEA HAKI MAPROMOTER WOTE?
WE ACHA USENGE WE KAA PEMBENI

Anonymous said...

tatizo waabongo tulio nnje wengi washamba hao jamaa wa holland wanaonekana na wivu afu wameishiwa mipango hao jamaa hawakuwezi wako kama wanawake ndo wanatuharibia ulaya yetu wasenge km hao hata uk wapo.....sasa mwanaume unaacha fanya kazi zako unamuongelea mwanaume mwingine unataka nn?angekua ana cmpny fake asingeweza kumleta msanii fake maana document zinapitia ubalozi acheni ushamba watu wa holland

Anonymous said...

MIMI NAFANYA SHOW ZA ENTERTAINMENT NA WASANII KWA MAPENZI NA HOBBY KAMA MTU HATA TAKA KUJA KWA CHUKI BINAFSI NISIZOZIJUWA MIMI BADO NITAFANYA SHOW MBELE YA MIMI NA FAMILIA YANGU NA MARAFIKI ZANGU (PRIVATELY) LAKINI SITAACHA KAMWE KWANI CHA MSINGI SI NI KUFUATA MKATABA? NA MKATABA WETU NI KWANZA MALIPO KISHA KAZI SASA KWA NINI MNAPOTOSHA JAMII? KAMA MSANII HAJALIPWA HASIPANDE JUKWAANI.


mimi ndio ittinizi naandika hii comment. walio leta hiyo habari ya uongo kwenye media ni watu wenye matatizo binafsi na mawivu yasiyo na maana wameamua kuchafua jina langu lakini hawatafanikiwa chochote. nikianza na matonya kama mfano msanii ambaye nimefanyanae kazi hivi punde mimemlimpa pesa yake yote kamili mara tu baada ya kuja hapa holland ni kama wiki mbili hivi kabla ya show. amepanda jukwaani hatudaiani hata senti moja tumekaa wote hapa holland kama marafiki au ndugu mpaka dakika ya mwisho. leo matonya kaondoka hapa holland kwenda greece alipofika tu kanipigia kunisalimia na kunifahamisha kuwa kafika salama na amenipa namba yake ya uko na mawasiliano yako kawaida. je mtu ambaye sijamlipa atakuwa katika mazingira ya urafiki namna hiyo? kama mnataka uakika wa haya ninayo yasema namba ya matonya ya greece ni hii hapa mpigieni mpate uakika zaidi: 00306995145777.

hawa jamaa walio tuma hii taharifa kwenye blog nawajuwa ni watu wenye vibifu vya kijinga jinga na ambavyo havina mpango na hawanijuwi vizuri wala mambo yangu wanakwenda ovyo kuropoka ropoka tu acheni mambo yasiyo na maana ya kuchafuana fanyeni shughuli zenu za maisha bila kufuata watu.
mambo ya shule:
mimi nilikuja holland kusoma karibu miaka ishirini iliyopita nyinyi wote bado mlikuwa hamjaja hapa nikasoma bachelor ya hotel administration hotel school Leeuwarden nika maliza vizuri nika kunja cheti changu, nikafanya master degree ya international business university Enschede nikakunja cheti changu sibabaiki na maisha mahali popote duniani naweza kuishi ujanja kusoma na nimesoma vizuri nashukuru mungu. kwa nini mnaandika uongo kuwa masomo yamenishinda sasa nafanya utapeli? kwani mimi nasoma leo? pia mimi ni mtaalamu wa biashara (expert) siwezi kufanya kazi na kampuni feki hata siku moja kwanini nifanye hivyo badala ya kusajiri serikalini? kwani kusajiri kampuni ni ishu? na tangu lini ulaya mtu kafanya kazi na kampuni feki? nyinyi ni wapumbavu hamna akili na hamjuwi mnachokiongea. mimi naona nyinyi ndugu wachache mnao nipaka mimi matope mnajisumbua tu mimi kazi ya kufanya na wasanii nafanya kwa mapenzi au hobby nitaendelea kufanya kazi na wasanii kwa kufuata kanuni za biashara (basing on business principles).



mimi naona mnanipa umaharufu wa bure kwenye media bila gharama yoyote siwezi kuhathirika kibiashara wala kwa namna yoyote kama mnavyo taka kwa sababu mimi ni mtu poa kabisa mwenye vision kali sana, mimi ni mtu poa kabisa mwenye strategies kali sana za biashara na maisha kwa ujumla, mimi ni hard working na niko tough sana so be careful guys hakuna haja ya ku-missuse media at the expense of other people.hakuna haja kufanya fitna, majungu na mawivu ya kijinga just workhard for yourself and you will be succesful nothing easy in this world just dont use cheap technique to win competition end of the day you will lose more. kwa sababu penye ukweli uongo unajitenga wenyewe.



so wabaya wangu naona mumenipania sana sababu siijuwi au kuna mtu kati yenu tumegonganisha magari? kama ni hivyo samahani sana sikujuwa.



nawatakia wote afya njema na ufanisi wa maisha yenu mimi niko imara kabisa. nakaza buti vita mbele.
tusije tukachinjana tu hapa siku moja maana ndio tunakoenda sasa hivi amani imetushinda naona ni stress za maisha. lakini mimi ni ngwamba siogopi, sitishiki, siyumbi na wala sibabaiki. matokeo ni dakika 90. b*t*h!!

by: itinizzi kuzitala

Anonymous said...

So sad.... you're the first expert who can not even express thyself.I am so sorry you sound bitter na hao wenzako unaogombana nao wote wasenge....an educated person does not sound garbage like you.

Anonymous said...

Kaka kama unajiamini matusi ya ninisasa ? Damn take it easy man utapatwa na shindikizo la damu bure, hivyo vyeti vyako elimu yako itakusaidia mwenyewe hakuna mtu anataka kujua, watu wamewastua Wasanii wa bongo ili wakujue kama wewe sio na ndio maana watu hawaji ktk show zako sababu haujua kuandaa U need more Entertainment Experience,, haya tukana tena basi uwanja wako

Anonymous said...

Itinizzi hukutumia busara kwa kuanza kujibu mashambulizi bila utafiti wakina kutaka kujua nani ameandika huo uwaraka.kwa msomi kama weye mwenye degree kama unavyo jinadi nakujisifia hukuweza hata kujua nani aliokuandika kwenye mtandao?Chunguza kwa makini utajua kuwa comment au shutuma hizo hazikutoka holland na nakuomba uwaombe radhi wakazi wa holland.mtu mwenye busara huwa hatumii ghadhabu anatumia hekima na lugha ya kiungwana.dege rubozi

Anonymous said...

Watanzania walioko Ulaya siku hizi, si wale wa zamani. Tabia zao ni bora hata za Mazese ya miaka hiyo na sio ya sasa. Sio Holland tu, karibu sehemu zote. USA, Huston usiseme, UK ndo kisima cha majungu, Scandinavian countries, ndo bahari ya mijungu!

Anonymous said...

Nimefurahi sunday kufunguka na ili tuamini uliotuma habari hizi kwa DJ choka nae ajitokeze afunguke sio kutuma habari za kifitina halafu unaandika mdau toka holland na sisi tumeshagundua na tunakujua wewe ni mdau wa ugiriki na nia yako kuvuruga wa bongo wa Holland wawe Kama wa huko kwenu ugiriki wanaume Kama wanawake Wako. Jimmy. Holland

Anonymous said...

picha aliyopiga inaonyesha ni mtu wa aina gani, tazama yupo ndani lakini kavaa kama yupo nje au mtu aliyefika leo kutoka....

Anonymous said...

Yo MJAMAA ONGEA KWELI HUKU ULAYA KUNA SAMPURI NYINGI ZA WATU KAMA HAO BI´FU KILA ASUBUHI HAZIISHI ,MPAKA KWENYE NYAMA CHOMA WATU BADO WANAONEANA WIVU, WEWE BRO FANYA KIVYAKO KAZA BUTI WEWE MBONGO VILE VILE WASIKUTISHE KWA SABABU WAO ETI WANAWAJUA SANA WABONGO WOTE HAPO WASHAMBA NA ELIMU FINYO! MAMBO HAYO HASA NI WASENGE WASENGE WANAOISHI UK,HUKO HOLLAND, SCANDINAVIA,DENMARK UTAFIKIRI WANAUME WANATEMBEA NA MBOO MATAKAONI, SWEDEN NDIO KABISA, NAONA WABOMGO HIVI SASA WANAENDA OMBA VYETI VYA USHOGA,BAADA YA KUPIGIKA NA MAISHA NA BOX LIMEPUNGUA, NA WANAWAKE WOTE NI WALE MALAY,- MALAYA WALIOKUWA WAKIJIUZA HUKO BONGO NA IKIONGEZEA NA HALI YA UCHUMI HIVI SASA ,WOTE WAMEPAGAWA. WIVU NDIO WAO NI KUSEMANA TU HUMO MAJUMBANI KWAO. HUYU KAVAA NINI JANA, YULE KATIWA NA NANI IJUMAA PARTY YA UHURU , YULE ALIKIUA KAVUTA BANGI ,,,,, BASI TU,YAANI AFADHALI HUKO BONGO TULIKOTOKA WAMETULIA ZAIDI YA SISI HUKU ULAYA WATUAMBAO WANAKULA NA KULALA KATIKA APPARTMENT NZURI LAKINI BADO TU WATU KUCHUNGUZANA. WEWE FANYA KAZI YAKO TENGENEZA MAMBO YAKO, YAKIWA POA NENDA BONGO NA FAINALI NI HUKO TULIKOTOKA.

ENDELEZA LIBENEKE HIZO DUA ZA KUKU HUWA HAZIMDHURU MWEWE!!!!!!

MDAU

BONN,WEST GERMANY

Anonymous said...

WATANZANI ACHENI WIVU WENU WA KIJINGAJINGA, ANGALIENI WENZETU WATU WA WEST WAKO HUKU KUTAFUTA SIO MALUUMBANO, NA BADO ITAFIKIA WAKATI TUATAANZA WASHANA VYUMA SASA IWE KAMA MAREKANI KWANI WIVU UMEZIDI SANA KWA WABONGO NDIO MAANA MNACHOMANA CHOMANA NYIE .WATU WANAENDA JILIPUA MTU ANAUNGUZA PICHA YOTE HIYO NI WIVU KWA NINI HAMTAKI WENZENU WAENDELEE?

HASA NYIE MNAOJIFANYA MNAISHI ETI ULAYA YA JUU, HOLLAND,SCANDINAVIA,UK, GERMANY,FINLAND WOTE SWAIN WASHAMBA WAKUBWA.

Anonymous said...

ww jimmy usitukane watu huko holland kuna ongoza kwa wanaume wambea au unataka niwataje kwa majina?????????????????????? na huyo ittinizi pesa hajamlipa matonya na mzee yussuph pia hakumlipa tapeli huyoooo ndio maana show zake hapati watu kwa utapeli wake.

Anonymous said...

so... now i want to say something please. Ittinizi is a good pason and he neva tapeli watu. nyie wengina mna WIIVU na naomba muipeleke kwa watu ambayo unawajua, sio kwa watu ambayo haumfahamu vizuri. thats all asante sana. peace and LOVE wabongo tusaidiane please!! ili... wote tufanikiwe kwenye hii dunia.