Ukitaka kujua kuwa kuna sehemu mziki wa HIP HOP haupewi nafasi bus panda mabus ya mikoani....yani hata yale yaendayo ARUSHA Na MWANZA wanapopaita kwa wanahip hop pia wapo! Kinachotokea ni unakuta...kwenye screen za kwenye bus ukisafiri iende irudi utachezea bongo muvie, ngoma za kuimba, gospel, comedy...bhaaas...na mara chache muviez za mijegeje zile dushwaaa dushwaaa comando kipensi....
ukitoka ubungo pale...fasta wanaweka colection ya video za bongo....basi anaanza A.T pale Vifuu tundu, anakuja A.T tena cjui Bao la kete, mara Linex Moyo wa subira, halafu Dushelele, best naso nauza mkaa cjui ile huikosi, Diamond, Belle 9, Barnaba na t.h.t woote wataguswa apo, halafu kidooogo wanaweza wakamkumbuka Chidi Beenz but katika ile ngoma alioimba na Mzee Yusuph, then goma linarud tena kwa Sam wa ukweli, Hakunaga ya Suma, mara Shilole, Off Side Trick, yan hapo humckii Kala Pina, Roma na kavideo kake kale, huckii Joe Makini, Play boy Niki Mbishi, Godzila, Fid Q, Nako 2 Nako wala Prof Jay wala Mwana FA...aah nimewasahau Tip Top nao wanakula sana mashavu na Dogo Asley,
thn wakitoa cd hiyo utackia GAME 1st Quality wanakuletea....unajua Kanumba uyo anaanza...apo utaona...DJ Ben, cjui Aunt Ezekiel, Uwoya cjui nani Mtambalike...wakitoka hao...majuto anatisha apo....wakitoa hiyo kinakuja kitu cha gospelz...khaaa hapo naitafta mbeya hapo mfano ndo tupo kitonga bt cjajiona videoni wala riziwani cjamckia wala king zila....maraaa mzee yusuph na isha mashauz...daaah af c.unajua zilivo ndefu taarab...ayah...ikitoka hiyo utaona the god must be crayz bush men, mfano ikitokea cd imegoma....tu...utackia goma linaanza tena kwa A.T na kina shilole....na best naso!! Sasaa nini mbaya apa jaman..?ni kuwa cc hatutoi sn video, hazina kiwango....au niaje niaje? Hebu pandeni mabus mtaliona hili....
5 comments:
ni kweli kabisa..
Hebu Peleka Video zako na nyingine za wana hip hop wanzako (ziwe na maadili) kwa basi mbili au tatu then fuatilia kama zinapigwa au laa.
Prince Sab
Am in the US right now, but that shit is so true and it happens like oftentimes. Before i left to US i experienced that stuff and since am a big fan of hip hop so i hated that shit like crazy.. Hip hop gotta be given airtime it's music also, and Choka kusema pande za Kitonga na Mbeya umenigusa sana, me ni mtoto wa Mbeya bana. ONE
Crowd ya wasafiri ni watu mchanganyiko na wengi hua ni akina mama so inakua ngumu kuweka hip hop ngumu..pia ktk safari Watanzania wengi wapo kiimani zaidi so gospel zinapewa Airtime...pia Wamiliki na wafanyakazi wa mabus sio wadau wa mziki...
you stoopid loser thot ungefurahia gospel as in unabeba rozari and that name of yos, au ni ajili ya soko? utachomwa moto vibaya sana pumbavu wewe, be a gron up and act like one. stupid
Post a Comment