22.11.13

Thursday, March 22, 2012

CLUB MAISHA MTWARA SASA IPO TAYARI KWA BURUDANI KWA WAKAZI WA MTWARA.

Usiku huu hapa Club Maisha Mtwara ndio matengenezo ya mwisho na tayari kwa show ya uzinduzi itakayopigwa Alhamis ya leo. Picha ya juu na chini inaonyesha lango kuu lakuingilia ambapo kutakuwa na Red Carpet ya nguvu na watu mbalimbali pamoja na wageni waalikwa watapita katika zulia hilo jekundu. 

Taa ziliwashwa zote ili kucheki kama kuna makosa sehemu wayarekebishe 

HK akikagua machine ya DJ kama imekaa pole na tv ile pale pembeni itakuwa inakuonyesha nyimbo zitakazochezwa hapo zitakuwa nizile zenye video so unacheza mziki huku ukimtizama aliyeimba wimbo huo kwenye kideo. Mpewe nini tena watu wangu wa Mtwara??? Club ndio kwanza mpyaaaaaaaa 

No comments: