Vimwana wa New Maisha Club
Usafiri huu ndio uliokuwa ukitupeleka Mtwara na umetufikisha salama kabisa
Baada ya safari ndefu tukapata nafasi ya kupumzika na kupata chakula
Hatimaye tukafika salama na moja kwa moja tukaelekea sehemu ambayo club maisha ilipo na kupata kumbukumbu ya picha
Tukapata nafasi ya kutembelea ndani ya Club Maisha na kuona jinsi ilivyo ingawa bado mafundi walikuwa wakirekebisha na kumalizia malizia ili kujiandaa kwa ufunguzi
Hii ni sehemu ya DJ
Upande wa Kaunta utakavyokuwa
Hii ni kwa upande wa VIP nao watakuwa na mlango wao
HK na Charles
No comments:
Post a Comment