22.11.13

Saturday, March 31, 2012

DIAMONDS ARE FOREVER RED CARPET @Mlimani City Dar es Salaam

Hapa ndipo palipokuwa sehemu ya wageni wote kupiga picha kabla yakuingia ukumbini, nimependa mwonekano ulivyokuwa umekaa, big up kwa waandaaji. 

 Diamond, Mama mzazi wa Diamond & Queen Darling

9 comments:

Anonymous said...

Aiseeee sio mchezoooo.Nimekubaliiii
ally albusaidy

Anonymous said...

Iko poa sana, sehemu za kistaarabu.

elisa said...

Mamaaa! Im dead ! Watu walipendezaaaaaa! Sina cha kuongeza..:)

Anonymous said...

kaka choka, tafuta euro mia 300 nami nitakuongezea mia 200 nikununulie bonge la camera kaka naona uliyonayo siyo vile bingwa ni kwa upendo tu

Anonymous said...

kaka all in all kulikuwa na band live inatuimbuiza? kama hakuweza kufanya hivyo na kiingilio chote hicho na watu wote hao, bado ni safari ndefu, ukiamua kufanya inapaswa ufanye kisawa sawa ama sivyo kaka? by the way gud start

Anonymous said...

ni pouwa

Anonymous said...

walio miss hii show wamekosa uhondo.kuanza diamond hadi 2lio hudhuria 2metoka ile mbaya.

patastories said...

Kaka mchongo wa camera huo hapo kwa mshkaji una husika...

BMW CONNECTION said...

iko pouwa sana