22.11.13

Saturday, March 31, 2012

SHOW YA DIAMONDS ARE FOREVER YAFUNIKA VIIBAYA VIBAYA MNOOOOO.

DJ Bulla mtamboni akihakikisha show ya Diamond inakwenda sawa kabisa. 




Huyu jamaa bwana ni bonge la design wa mavazi, nguo unazoona alizovaa Diamond na wakina Barnaba, Ommy Dimpozi na Amini huyu ndio aliyechora mpango mzima utakavyokuwa. Anaitwa Martin Kadinda 

Anaitwa Esi yeye alikuwa akishughulika na usafi wa Diamond na kuonekana kwa steji kweli kamweka sawa raisi wa Wasafi

7 comments:

Anonymous said...

ah choka picha nzuri ila mbn ujaeka maneno kwenye picha.kama hapa ilkuwa hivi pale ilkuwa vile.usifanye hivyo bro

Unknown said...

Nadhan mpaka hapo wasafi washamjua rais wao ni yup! Big up 2u diamond

Anonymous said...

tas watsup cuz nakuamninia

Anonymous said...

wajua kwamba Esi ni dada wa jokate, mama mkubwa na mama mdogo

Malkiory Matiya said...

Huyu mkali wa ku design pia ni mkali wa totoz, alishawahi kutwa ufukweni akifanya uchafu na mchumba wa mtu, tena Star kama mnavyoita huko bongo!

patastories said...

Imebamba

hustler said...

jamaa mshamba ile mbaya