22.11.13

Sunday, March 11, 2012

Jiachie na Camera ya DJCHOKA @KIJITONYAMA POSTAL GROUND

Aloy & Sandrah Temu watangazaji kutoka TIMES FM  

Kama umeiona video ya Suma Lee HAKUNAGA basi huyu jamaa atakuwa sio mgeni machoni mwako 

Vijana kutoka Fullbata 

Kuna haja ya utambulisho jamani??? wanyama wenyewe wako FULL 

1B kutoka TIMES FM na Dj Ziro kutoka CLOUDS FM 

 Tinny Dad na Ommy Dimpozi

Dully Sykes na nduguze 

Suma Lee na nduguze 

katikati ni Juma Nature na Kiboya kiganja cha SOKWE 

TIP TOP Connection 

Mmmmh 

 Dully Sykes akiwa na Araphat Ngumi Jiwe

Jossy Bless & Regi 

Maproducer wawili wakali, kushoto ni Hermy B kutoka B'hits na Jossy Bless kutoka Sababisha Rec 

 my brother Dagma

Aliyesimama katikati ndio BOSS mpya wa Dully Sykes

1 comment:

Anonymous said...

Hahaha hivi ndio inavyotakiwa kuwapa company wasanii wenzenu big up to all Artsit walifika hapo,Ally Albusaidy