22.11.13

Sunday, March 11, 2012

YALIYOJIRI KWENYE SHOW YA DJ CLEO @KIJITONYAMA POSTAL GROUND

Mtangazaji kutoka Times FM Sandrah akizungumza na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza kuja kumtizama msanii na dj mkali kutoka South Africa DJ CLEO katika kiwanja cha Kijitonyama Postal Ground 

Dogo Janja akiwa na Madee kwa steji 

DJ Cleo akiwatizama mashabiki wake wa Tanzania 

 Baadhi ya wakazi wa jiji waliojitokeza kwenye show hiyo

 Sandrah & Aloy kutoka Times FM

 Dj D Ommy akifanya mambo yake kwa steji pia anapatikana Pro 24 DJs

 Ommy Dimpozi kwa steji

 TMK Wanaume Family kwa steji

Dogo Janjaro akizungumza na mashabiki wake

2 comments:

Anonymous said...

Ilikuwa balaaaa.vp video yake inaweza kupatikana?Ally Albusaidy

Anonymous said...

Ebna show ilibamba mbaya...Big u Times fm n Blog yote ya Dj Choka....Halaaaaa