siwezi kusema muhache kuimba ila kufika sehemu inayotakiwa mutachukua karne 2 alafu wachina mmewaona kuwa kwenu ndo kma wauza sura wenu mbna hawana mpango
hii bado kabisa vijana....kwanza beat mbaya simple na vocal jamaa ajaedit and all nini maana inaonekana mmerecord na kuweka hewani dah....bado sana mnahitaji mazoezi w2 wangu....ila msigive up one day mtakua juu...powwwwwwwww
Si Mbaya Kujaribu!!Beat wametengeneza wenyewe na Video pia!!! Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha!1 Mpaka leo bara bara zinapinda kwa kuukwepa!! Pua zenu!!Acheni Dharau!!
MAJUNGU SIO KAZI MAZAFAKA ZENU RECODIN ZA KWENU KWANZA THEN KOSOA YA MWEZAKO MAMA CHINI WOTE MNAOJIFANYA KAMA SALAMA KWENYE PLANET BONGO... MSIKATE TAMAA HAYO MANENO 2 HATA KWENYE KANGA YAPO
16 comments:
SIO LAZIMA KILA MTU AWE MC NYIE ENDELEENI KUBEBA BOX TUU UKO CHINA WAACHIENI WENYEWEZA MZIKI..
siwezi kusema muhache kuimba ila kufika sehemu inayotakiwa mutachukua karne 2 alafu wachina mmewaona kuwa kwenu ndo kma wauza sura wenu mbna hawana mpango
hii bado kabisa vijana....kwanza beat mbaya simple na vocal jamaa ajaedit and all nini maana inaonekana mmerecord na kuweka hewani dah....bado sana mnahitaji mazoezi w2 wangu....ila msigive up one day mtakua juu...powwwwwwwww
These sharobaros' are tripping....really in 2012 track like this...this is not 90's kids...sit ur asses down
mdogo ndio mwendo bora wabeba mabox china kuliko mfanya usafi wa waind
Si Mbaya Kujaribu!!Beat wametengeneza wenyewe na Video pia!!!
Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha!1
Mpaka leo bara bara zinapinda kwa kuukwepa!!
Pua zenu!!Acheni Dharau!!
good job nice
hata mbuyu ulianza kama mchicha we sharo nyamaza tafauti na wewe muhuza sura club kwa unangoma toka miji mama fuck
mdogo ndio mwendo kazeni
mi nawakubali
umewaskiliza ndio mana unaponda
weka yako km mamako
tusitukane ila wapo fiti
Jamani Rugha chafu HAZIFAI KUWENI WASTAARABU!!
MBONA HAO MASHAROBARO WAMEIMBA FuRESH TU!!!
MI NAWAKUBALI TU!!!
LAKINI KNA MMOJA MACHO KAMA RAY C
RUBBISH
MAJUNGU SIO KAZI MAZAFAKA ZENU RECODIN ZA KWENU KWANZA THEN KOSOA YA MWEZAKO MAMA CHINI WOTE MNAOJIFANYA KAMA SALAMA KWENYE PLANET BONGO... MSIKATE TAMAA HAYO MANENO 2 HATA KWENYE KANGA YAPO
Post a Comment