ngoma inaitwa AGAIN and AGAIN,
msanii ni SEMY PAGE toka kundi la Macube rymers,akiwa amemshirikisha msanii BIG BOSS
ngoma imetengenezwa kwenye studio za M LAB producer akiwa Kanye Mujwahuki
hii ni nyimbo yake ya kwanza kama solo artist baada ya kutoka na ngoma ya kundi iliyokwenda kwa jina la HIRA.
5 comments:
hii ngoma poa ila mbona inafanana na ile ya rickross ya freemasonss
http://youtu.be/kw8SyaFXOqw
sidhani kama inafanana sana sema labda ladha sawa ..
sidhani kama zinafanana bro, labda ladha sawa ...
duuuh,..hili biti zito aisee,choka nani huyu?
umekwiza semmy mtaa tuliisubiri kitambo hii kitu pande hizi za chuga.
Post a Comment