22.11.13

Monday, March 12, 2012

NIMEKASIRISHWA NA Kitendo alicho kifanya LINEX "BABA LEVO"

Jana wakati tupo kwenye video ya mdogo wetu wa kigoma HUSEIN LUBIBI. kamdharau kamnyanyapaaa na kisha kuondoka bila kufanya clip hata moja wakati tulienda pale kumsapot ndugu yetu. so kuanzia jana nilimvua U SPTAN linex atoke zake!!


Alichokijibu msanii LINEX baada ya Baba Levo kusema maneno hayo
"MUNGU NDO ANAJUA NN KILIKUA MPAKA SIJAONEKANA KWENYE HYO VDEO HUYO LUBI MWENYEWE MUULIZENI ANAKAA NA NANI NA NANI KASABABISHA HADI KAFANYA HYO VDEO AKSANTEN"

5 comments:

Anonymous said...

mimi cmjui linex ckujui wewe ila nawaombeni ili mufanikiwe muziki wenu wa bongo kwnza mupendane mushirikiane mushikamane hakuna aliye juu kimuziki bongo sema kuna bahazi tu ya wachache majina yao ni mepesi midomoni mwa watu kma alifanya ivyo si vizuri kitendo hicho hamuwaoni wenzenu wamarekani siku hizi wamehacha mambo ya mabifu wameshikamana sasa wanatengeneza pesa utaskuta rick ross anafanya show mji furani wanamuziki wanatoka sehemu ya mbali sna kwa ghalama zao wanaenda kumsapot mwenzao acheni ayo mambo tafuteni pesa kwa ushirikiano mdau kutoka sweden

Anonymous said...

wewe nawe si ungemuuliza huyo linex kwanini kaondoka siyo kila kitu kukimbilia public tu, labda alibanwa ama alikuwa anajisikia vibaya

Anonymous said...

Angalia staki kusikia eti Linex ana Bif na Baba levo.

Unknown said...

Huku public sio wala nini....we solve na jamaa hata ikishindikana pausha...huku kwa choka kwa nini....wewe mwenyewe at some point kwenye maisha yako usha diss raia......piga kimya bana.

Anonymous said...

Baba levo unatuchanganya, we niaje? Au unataka kuuza tu.