Sorry for u lulu...jaman watu walivyozimia leaders vile..na lulu alitaka audhurie mazishi ya mpenzi wake..kitendo cha watu kumuona si angeongeza idadi ya vifo!!!?
Haaa umenichekesha lol ndio hapo sasa .labda alikuwa anafanya mambo ya jaz and beyonce siri sio kila mtu asijua jamani mhhh lakini siri duniani hakuna kabisa mhhh
Huyu mtoto uongo ndio umemponza. Supposedly she is only 17 years old ila kwenye hii clip kasema she is 18 years. So I am thinking alikuwa anawaambia watu she is 18 sijui ili apate freedom yaani tuone kama umri unamruhusu kufanya ambayo alianza kufanya even before she was "18". Another thing is kudanganya kuwa hana boyfriend kumbe alianza kutoka na Kanumba kwa siri muda mrefu. Na Marehemu pia alipohojiwa na MkasiTV pia alisema hana girlfriend na pia hanywi pombe ona sasa kifo kinaumbua, kakutwa na levels za alcohol kwenye system yake na kumbe alikuwa anatoka na Lulu. Simhukumu, sote ni binadamu ila hili liwe fundisho kuwa tuwe wakweli. Na Lulu nae kama hakuwa anaongea na mwanaume mwingine siku ya tukio kwenye simu kwanini akimbie nje na simu? Mtoto mdogo ila mambo MAKUBWA. I think this will be her lesson learnt!
I BELIEVE SHE IS INNOCENT AND INSHAALAH GOD WILL HELP HER IN ANY WAY.....na tunategemea wanasheria kumsaidia LULU,hakuna mtu asie na makosa na hakuna mtu anaweza sema mambo yake yote.kwa iyo tusimjudge Lulu kwa kumnyooshea kidole wakati vidole vinne vimekugeukia,tuache madaktari na police watwambie ukweli.yoyote anaweza kuwa na matatizo katika mwili wake bila kujijua,je tunafanya check-up mda gani?watanzania hatuna iyo.kwa iyo tufunge midomo yetu tusubiri watakavyotueleza wahusika
7 comments:
jumba bovu limemuangukia
ye si alisema hana boy friend sasa chumbani kwa kanumba alifuata nini?

ukikaa na wajinga na wewe utakuwa mjinga.....sikila

Post a Comment