22.11.13

Tuesday, May 08, 2012

HABARI NJEMA KWA WASANII WA KITANZANIA NA AFRICA

Habari ,
Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa inapiga miziki ya kiafrica  mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo inaenda kwa url ya www.facebook.com/officialmambomusik
 Page hii itasaidia kuinua mziki wa kiafrica ambapo itampa fursa msanii wa Kitanzania na Africa kuweza kusikika duniani kote
Page itahusisha playlist ya music wa kiafrica, biography zao na habari mbali mbali kwa upande wa wasanii ili nyimbo zao ziweze kuwekwa kwenye playlist yetu ni BURE kabisa na anaweza tuma katika email yetu ya
Shukrani,
Mambo Musik Team

No comments: